My Creation

Monday 24 June 2013

PHOTOS : BAADHI YA PICHA KWENYE MAZISHI YA MAREHEMU MAMA MZAZI WA BARNABA …

Msanii wa mziki wa kizazi kipya Barnaba Elias, siku ya Jumamosi alifiwa na Mama yake mzazi ambae alikuwa akijulikana kwa jina la Bi. Mariam Arubeth. Shughuli za mazishi zilifanyika siku ya Jumapili nyumbani kwa marehemu kigogo/mburahati ambapo msiba huo ulihudhuriwa na watu wengi wakiwemo wasanii mbalimbali .
Tazama baadhi ya picha za kwenye mazishi hayo …
















No comments:

Post a Comment