Msanii chipukuzi mwenye uwezo wa hali ya juu ameshawahi kuachia ngoma inayoitwa uwezo akidhihirisha uwezo wake msanii anaewakilisha Salasala Dar es salaam Stollo Rhymes Zan, baada ya kuachia ngoma yake iliyotoka mwaka jana katikati bado yupo kwenye harakati za kuelekea juu katika gemu la Hip Hop ya Bongo. Kwa sasa Stollo amerudi na ngoma kali inayofahamika kama "Come Up" akiwa amemshirikisha Maulo.... SIkiliza ngoma hapo chini ya Stollo Feat Maulo...Salute!
No comments:
Post a Comment