Vita kali ya matusi ya nguoni
imeibuka kati ya Loveness Diva wa Bongo na Lady Boss wa Kenya
kisa kikiwa na PENZI LA PREZZO.....
Mwanadada maarufu nchini Kenya maarufu
kwa jina la Huddah Monroe leo ameingia kwenye bifu kali na
Tanzanian Diva, Loveness Love, kwa madai kwamba Diva ameparamia
penzi la mpenzi wake ambaye ni prezzo....
Mrembo
huyu anashangaa kuingiliwa penzi lake na mtu kama Diva....Kwa
upande wake anamchukulia Diva kama mwanamke mchafu, Njiti,asiye
na makalio ya kuvutia na kahaba......
No comments:
Post a Comment