My Creation

Monday, 17 June 2013

Sheria Dhidi Ya Wanaoshusha Mlegezo Ilivyo Pingwa Na Wasanii.


Sheria thidi ya uvaaji mbaya wa suruale kwa vijana wanao ingia mji wa Wildhood New Jersey Nchini Marekani utakutana na athabu kali, kwa mara ya kwanza mwenye kosa atalipa Dola 25 mpaka 100, Na Atakaye rudia atalipa dola 200. Pia wamesema adhabu nyingine kubwa inayo chukiwa zaidi ni mwenye kosa atafanya kazi za jamii kwa saa 40.

The Game amesema hawawezi kutupangia jinsi ya kuvaa nguo zetu hizi sio enzi za utumwa na watu watano wakwanza watakao kamatwa atalipa faini yeye.

Bizzy Bone wa Born Thugs N Harmony amesema sheria hii inalenga watu weusi na ni sheria ya ubaguzi na ya kijinga sana, Hayuko tayari kumskiliza mtu kuhusu mavazi yake.

Rapper Mac Miller amesema mlegezo ndio vazi la sasa na hataweza kuacha, kila ukimuona utamkuta na mlege na ni juu yako kukubali au kukata.

Sheria Hii Inaanza kazi July 1 2013.

No comments:

Post a Comment