My Creation

Wednesday 5 June 2013

PICHA TOKA MOROGORO AMBAKO ALBERT MANGWEA ATAZIKWA BAADA YA KUAGWA VIWANJA VYA LEADERS CLUB





   Wageni waliofika msibani Morogoro kwa marehemu Mangwea. 


Wakipanga jambo kutokana na eneo la nyumbani kwao marehemu Mangwea kuwa padogo.


Masufuliya ya chakula kwa watu waliokuwepo msibani morogoro


No comments:

Post a Comment