My Creation

Monday, 2 February 2015

Picha: Amberose na D'banj ndani ya Nigeria

Wiki iliyo pita mwana dada Ambe Rose ali-post kwenye page yake ya IG na kuandika kwamba ataenda nchini Nigeria kwa ajili ya D'banj na hiki ndicho kilicho jiri.



 

D'banj alimuita Amberose kwa lengo la ku-host kwenye show yake aliyokuwa ameiandaa mjini Lagos mabapo show hiyo ilihudhuriwa na ma-celebrities wengi akiwemo Iyanya.
Endelea kutazama picha nyingine.





          D'banj alipata nafasi ya kuwaonyesha tuzo zake alizo wahi kushinda katika muziki


No comments:

Post a Comment