JANA Leaders Club kila kitu kilikwenda sawa kabisa na kama mnavyoona steji imekamilika na kupambwa vizuri nadhani hadi kufika asubuhi mambo yatakuwa mazuri kabisa na muonekano utakuwa vizuri na watanzania waishia Dar es Salaam watapata nafasi yakutoa heshima zao za mwisho kwa ndugu yetu Albert Mangweha na baada ya kuuaga basi safari yakuelekea Morogoro itaanza.
No comments:
Post a Comment