My Creation

Tuesday, 21 May 2013

WASANII WAKIKE WAJITOLEA KUTENGENEZA WIMBO UNAOHUSU FISTULA

wasanii wa kike nchini, wamejitolea kutengeneza wimbo unaowahamasisha wakinamama kujitoa na kuona kama fistula ni ungonjwa ambao upo na una tibika, na kuwahamasisha wakina mama kutokuona aibu na kubaki nao nyumbani. wimbo huo umewashirikisha wasanii kama Mwasiti, Recho, Lina, Vanessa Mdee, Feza Kessy,Keisha, The Trio, Dayna, Maunda Zorro, Pipi, Queen Darlin, Vida, Zuhura, Meninnah, Vumilia,Baby J, Sundy Gaga.usikilize hapa chini.

No comments:

Post a Comment