Msanii mkongwe nchini maarufu Joseph Haule a.k.a Professa Jay amejiunga rasmi katika chama cha Demokrasia na maendeleo'CHADEMA
Professa Jay amekabidhiwa kadi hiyo na mbunge wa Mbeya mjini 'Joseph Mbilinyi' a.k.a Sugu.kujiunga kwa msanii huyo katika chama hicho kuna uwezekano akagombea ubunge 2015.!!!!!!!
Huu ndiyo ujumbe wa Professa Jay baada ya kupokea maswali mengi kutoka kwa mashabiki wake katika mtandao wa twitter.
'Mmeniuliza sana kwamba mimi ni CHAMA gani jibu litapatikana Muda sio mrefu!! Still in Dodoma STAY TUNED'
Professa Jay amekabidhiwa kadi hiyo na mbunge wa Mbeya mjini 'Joseph Mbilinyi' a.k.a Sugu.kujiunga kwa msanii huyo katika chama hicho kuna uwezekano akagombea ubunge 2015.!!!!!!!
'Mmeniuliza sana kwamba mimi ni CHAMA gani jibu litapatikana Muda sio mrefu!! Still in Dodoma STAY TUNED'
No comments:
Post a Comment