Nikki Mbishi soon, kuachia wimbo ambao hautakuwepo kwenye media yoyote
ile bali kwenye simu na computer za mashabiki wake.Nikki kupitia ukurasa
wake wa facebook amesema, mtu kuipata single hiyo inabidi achangie
shilingi 1000, na atapokea oda kupitia comments za ukurasa wake ambapo
zoezi hilo anategemea kulianza siku ya jumatatu.
Wimbo huo ambao amaupa jina la "Msuli Tembo Matokea Sungura" unalenga
kuwapa moyo watu wote wanaotumia nguvu, akili na jitihada kwa kiasi
kikubwa lakini wanachokipata ni kidogo kulinganisha na walichokiwekeza
Kuna track yangu mpya mahususi kwa mashabiki tu wala sitaitoa kwenye
media inaitwa "MSULI TEMBO MATOKEO SUNGURA" ikilenga kuwapa moyo watu
wote wanaotumia nguvu,akili na jitihada kwa kiasi kikubwa lakini
wanachokipata ni kidogo kulinganisha na walichowekeza,k ama wewe ni
mmoja wa watakao niunga mkono kwa kuchangia Tsh 1000 ili uipate unaweza
kupost comment yako na zoezi litaanza Jumatatu!#Asant eni
No comments:
Post a Comment