My Creation

Saturday, 25 May 2013

HUYU NDO MREMBO ATAKAYEWAKILISHA SHINDANO LA BIG BROTHER MWAKA HUU TANZANIA.




Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwenye   mitandao  mbalimbali nchini Tanzania, mrembo huyu, mwanamuziki Feza Kessy, ndiye atakayeiwakilisha Tanzania katika Big Brother Africa 2013 (BBA “The Chase.” Well, hizo ni baadhi ya picha zake. 

No comments:

Post a Comment