My Creation

Friday, 24 May 2013

FOXY BROWN: SIJAWAHI KUSEMA JAY Z NI MUATHIRIKA WA GONORRHEA

Foxy Brown ameudhika sana na ripoti zilizoenea kuwa amemtukana Jay Z.... akiongea na mtandao wa TMZ amesema, hajawahi kutukana Jay kuwa ni muathirika  wa gonjwa  la gonorrhea, Tranny Chaser...na sasa anatishia kuwapeleka mahakamani.
Brown anazungumzia ripoti zinazosema,hivi karibuni alienda kwenye baby shower na kuanza kumsema Jay na maisha yake ya kimapenzi kwa mmoja wa wageni katika sherehe hiyo- na kusema kuwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, na kuwa alipoteza bikira yake kwake wakati alipokuwa na miaka 15 na Jay alikuwa na miaka 27.

kuna mengi yaliyozungumzwa ikiwa ni pamoja na tuhuma za Jay kujihusisha na wizi, video ya ngono na STDs.
Foxy amesema, ripo hizo ni za kijinga kabisa, na nilipoziskia ziliniumiza sana tumbo, na kila mmoja aliehusika atapigiwa simu na mwanasheria wangu

Jay siku zote amekuwa ni mtu mzuri kwangu na familia yangu, rafiki mzuri kwa miaka yote hii niliyomfaham, na hatukuwa na chochote zaidi ya mafanikio makubwa kama team

Beyonce, mke wake amekuwa ni mtu mzuri sana kwangu,sitakubali hater yoyote kutengeza story na kuniharibia heshima yangu na muonekano wangu. 
huku kuvunjiana heshima hakuweza kuvumilika.

No comments:

Post a Comment