
habari zenye uhakika kutoka kwa Dr aliekuwa ICU, katika hospitali ya St Hellen Joseph, zimethibitisha kuwa msanii aliekuwa na Ngwea wakati mauti yanamkuta, ambae yeye pia alikua hoi hospitali, anaendelea vizurin, na anaongea kwa sasa, ila uchunguzi wa kile kilichosababisha kufikishwa hospitali hapo bado unaoendelea
hapa Dr anaongea kuhusu maendeleo ya M2theP
hapa anazungumzia kilichosababisha ugonjwa huo wa kumyanya afikie kuwa ICU
baada ya kuongea nae machache hayo, tulimuomba kuongea na mgonjwa, lakini Dr alikataa na kusema kuwa kwa kuwa anaongea basi tuongee na ndugu zake ambao wanakuja kumjulia hali hospitalini hapo
No comments:
Post a Comment