Kama unakumbuka vizuri mwaka jana kundi jipya lilokuwa linakuja vizuri
kwenye game ,Pah one, lilisambaratika na wengine kujitoa kwa sababu ya
kutokuelewana katika kundi, kisa kikiwa ni uhusiano wa kimapenzi kati ya
Nahreel na Aika ambapo yeye "Aika" alikanusha kuwa sababu ya kundi hilo
kuvunjika, sasa wameamua kuja na kundi lao jipya likiwa na Nahreel,
Aika na Weester, ambalo hawajasema litakuwa linaitwa nini,na tayari wako
mbioni kuachia single yao ya kwanza kama kundi jipya ikiwa inajina
"Hold Me Back"
No comments:
Post a Comment